Habari Wadau,
Nakutana na changamoto ya usajili wa TIN number kwenye recruitment portal ya TRA, ambapo kila nikijaribu kuingiza number husika za TIN na kuzi-save, mfumo unaleta msg kwamba zimekuwa saved successfuly, lakini baada ya muda sehemu ya TIN yenye asterisk inabaki wazi tena.
Je, kwa waliokutana na changamoto hii, au wenye uelewa wa namna ya kufikia suluhisho la tatizo husika ni process zipi zinapaswa kufanyika ili kufikia utatuzi sahihi?
TRA Tanzania
Shukran.