Mkuu nimejaribu kufanya ivyo ila nikaambiwa NIDA ishatumika kwa email ingine.Inatakiwa ukishasajili akaunti yako kwa kuweka namba ya NIDA na taarifa zingine,. ukienda ku login akaunti yako ikifunguka ukute TIN na picha yako automatically,.. ukiona haipo hivyo ujue mfumo umepata changamoto ya kufanyia kazi taarifa zako.
Suluhisho,.. mimi nilipata changamoto kama yenu so nilichoamua kufanya nikatengeneza akaunti nyingine kwa kutumia email yangu nyingine, ndiyo nikafanikiwa kukuta TIN automatically kwenye akaunti.
Duh basi itakua wame update mfumo wao,.. mimi nilifanikiwa kwa kutumia email nyingine baada ya kuona TIN na picha ya NIDA haijatokea automatically.Mkuu nimejaribu kufanya ivyo ila nikaambiwa NIDA ishatumika kwa email ingine.
Mimi picha ipoo ni TIN tuDuh basi itakua wame update mfumo wao,.. mimi nilifanikiwa kwa kutumia email nyingine baada ya kuona TIN na picha ya NIDA haijatokea automatically.
Sasa kama imekua hivyo unaweza ukatuma tu application, au ikiwezekana wapigie simu ili kuondoa wasiwasi,.