TIN Number

TIN Number

benja

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
320
Reaction score
215
Wadau nimepoteza doc zangu zilikuwa na TIN number, is there a way of retrieving it hata kwenye web ya tra na leo j2 hawako kazini ningewapigia kuuliza. Msaada plz
 
Nadhani wazee wa tra wapo humu ndani, nawashauri waweke mechanism ya ku retrieve information kwenye website yao
 
leo wako kazini jaribu leo kuingia mtandaoni mwao halafu uwajulishe kilichokusibu
Wadau nimepoteza doc zangu zilikuwa na TIN number, is there a way of retrieving it hata kwenye web ya tra na leo j2 hawako kazini ningewapigia kuuliza. Msaada plz
 
Back
Top Bottom