Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Can you give the biology of your contention, does that existHabari wakuu..
Ni hivi...
Kuna dawa ya kupunguza acid inayotoka kwenye uke ambayo ikizidi huweza kuuwa sperms za mwanaume na kusababisha tatizo la kuto shika mimba?
Zipi?
Vyakula punguza kula vyakula vya wanga kama wali, viazi, chapati na ugali na nyama nyekundu, ongeza kula matunda na kunywa maji. Mboga za majani na ikiwezekana chemsha ndizi za kijani ule na mchicha au cabbage.Habari wakuu..
Ni hivi...
Kuna dawa ya kupunguza acid inayotoka kwenye uke ambayo ikizidi huweza kuuwa sperms za mwanaume na kusababisha tatizo la kuto shika mimba?
Zipi?
Vyakula punguza kula vyakula vya wanga kama wali, viazi, chapati na ugali na nyama nyekundu, ongeza kula matunda na kunywa maji. Mboga za majani na ikiwezekana chemsha ndizi za kijani ule na mchicha au cabbage.