Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Sijui ni Motomoto gazeti LA kwanza binafsi, au ni fire magazine?Buji!!!
Ni mapema mno BujibujiTing'a
Yap, Ting'a , mating'a yako Mengi, mengine ya kijanja, mengine ya kifala na mengine bab kubwa.
Yote ni mating'a na una get high
Wapo ambao Konyagi inapigwa na safari larger , wengine zanzi konyagi, wengine cocktail yoyote ili mradi ni Ting'a j uu ya Ting'a. Karibu
Tuna wakilisha mawazo yetu tuNi mapema mno Bujibuji
werawera..... mawera innKangara, mnazi, chibuku na ulanzi je?
Black WednesdayBlack Tuesday.
*morning*