Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I concur with youWapo kweli wanaozitumia vibaya..lkn kwa mijini bana tinted pia zinasaidia kuwakatisha tamaa wadokozi wa vitu vya ndani kwenye magari mf. Redio au screens. Ukiacha kioo bila tinted. Ndani una redio nzuri lazma unawatempt wadokozi zaidi.. Bora uifiche kwa tinted wasione..
Urudi kutoka wapi na umerudi lini na huko ulipotoka hakuna tinted kwenye magari ,majumba nk?Tangu nirudi hapa Tanzania nimeshuhudia magari mengi binafsi yakiwa na madirisha giza yaani tinted, nimejiuliza sababu za msingi ni nini nikakosa jibu.
Kwa mwenye kuelewa atuelimishe nadhani wengi wetu hatujui.
the thing is, hizi "tint" zinatumika vibaya hapa mjini, i get it inaweza tumika kuzuia jua, wizi, urembo and so on but it should be against the law kuwa na ile dark tint kabisa that u cannot even see a hand ndani ya gari kwa sababu ndio mwanzo wa uhalifu, ila watu sijui wanaona ni cool? the Police should actually stop them and have a quick look inside..its actually absurd that watu wanaachiwa tu kuwa na vioo vyeusi kabisa!..i think kuwa na light tint kwny vioo vyako ni sawa tu.
Kwa hiyo na Obama naye ni muhuni? Angalia matumizi ya tinted kwenye post kama tatu hivi za wana jf hapo juu. Think out of the Box.Nilishasema siku nyingi kwamba ukiona mtu ameweka vioo vya gari lake tinted ana "uhuni" fulani, we chunguza aina ya watu ambao hawana tint katika magari yao na wale walioweka tint utapata jibu; watakuambia "privacy" lakini privacy kwenye giza???.;;uhuni tu!!! Huo!
Hivi kumiliki bastola ni uhuni au ni ulinzi binafsi?Nilishasema siku nyingi kwamba ukiona mtu ameweka vioo vya gari lake tinted ana "uhuni" fulani, we chunguza aina ya watu ambao hawana tint katika magari yao na wale walioweka tint utapata jibu; watakuambia "privacy" lakini privacy kwenye giza???.;;uhuni tu!!! Huo!
the thing is, hizi "tint" zinatumika vibaya hapa mjini, i get it inaweza tumika kuzuia jua, wizi, urembo and so on but it should be against the law kuwa na ile dark tint kabisa that u cannot even see a hand ndani ya gari kwa sababu ndio mwanzo wa uhalifu, ila watu sijui wanaona ni cool? the Police should actually stop them and have a quick look inside..its actually absurd that watu wanaachiwa tu kuwa na vioo vyeusi kabisa!..i think kuwa na light tint kwny vioo vyako ni sawa tu.
Nilishasema siku nyingi kwamba ukiona mtu ameweka vioo vya gari lake tinted ana "uhuni" fulani, we chunguza aina ya watu ambao hawana tint katika magari yao na wale walioweka tint utapata jibu; watakuambia "privacy" lakini privacy kwenye giza???.;;uhuni tu!!! Huo!