Tipper (Mende Ton 32) ipi bora zaidi kwa biashara?

Tipper (Mende Ton 32) ipi bora zaidi kwa biashara?

Lambardi

Platinum Member
Joined
Feb 7, 2008
Posts
18,813
Reaction score
21,830
Wana JF heshima mbele ; nafikiria kuingia kwenye biashara Ya malori makubwa Ya mchanga na kokoto! Naomba muongozo brand ipi Ni bora kwa sisi tunaoanza Kwa mitaji kidogo? DAF, Scania, Iveco , Man? Natanguliza shukran !!
 
Umekosea njia hapa si mahali pake. Toyota hilux inaweza kutosha nenda kanunue hyo.
 
Angalia ipi spea zake zinapatikana kiurahisi na kwa bei nafuu hapo ulipo...kwa ubora zote ni nzuri
 
Ungeanza na Scania 93 112 au 113. Spea ni nyingi mjini rahisi kuliko daf/erf/foden/seddon n.k
 
Back
Top Bottom