Tipper za mchanga dar foso , scania mende, faw double diff zinalipa ? ?

Silicon Valley

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2012
Posts
1,092
Reaction score
1,118
Wakuu salama ? kwa wale wazoefu wa biashara hii ya tipper za mchanga, udongo n.k.
kwa dar mapato yake yakoje ? utataribu wa kazi ? na ni aina gani ya gari iliyo bora kuliko ? na size gani pia ? 5tons , 7tons, 10tons, 15 tons, 18 tons, 25 tons ?? ? ?
 
Faw tone 18 Tipper!
Ukiipata hiyo nitafute niwe nakuletea Mil 1.8 kwa wiki, mwezi 7.2 Milion..
Location ya kazi ni Dar, na ni uhakika..

0746 785704/ 0657 230355 zote natumia whatsup pia...
 
Zinauzwaje hizi gari?
 
Faw tone 18 Tipper!
Ukiipata hiyo nitafute niwe nakuletea Mil 1.8 kwa wiki, mwezi 7.2 Milion..
Location ya kazi ni Dar, na ni uhakika..

0746 785704/ 0657 230355 zote natumia whatsup pia...
Mkuu ungetoa maeleze ufanyaji kazi wake, mambo ya kuzingatia na changamoto zake ungesaidia wengi.
 
Faw tone 18 Tipper!
Ukiipata hiyo nitafute niwe nakuletea Mil 1.8 kwa wiki, mwezi 7.2 Milion..
Location ya kazi ni Dar, na ni uhakika..

0746 785704/ 0657 230355 zote natumia whatsup pia...
Mmh mbona kidogo sana
 
Kama kwa siku gari inapiga trip 10=400,000,
kwa mwezi milioni 12,
mi naona si mbaya kuletewa milioni 7,kama ikiwa dreva ataweka mafuta na service ndogo ndogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…