TIPPO (Zizzou Fashion)


Nakubaliana na wewe kuwa jamaa alikurupuka.
 
 
kaazi kwli,sasa hata kama utaambiwa hapa ni bado tu utakuwa umesikia ,hivyo mambo ya kusikia yatabaki unasikia tu.
 
 
 
Nimefikilia kutokukujibu nikaona haita kuwa sawa,majibu yangu bni haya;

1. Kama hukumwamini mtu aliyekuambia na mlikuwa one to one, utaamini vipi kutoka JF?

Si kwamba sikumwamini,nilihitaji kufahamu zaidi juu ya ukweli wajambo lenyewe ndio maana nikalileta hapa.Ukiondoa baadhi ya watu hapa JF ambao ni ving'a ng'anizi na wamekaria ubishi na Uzushi wa mambo ambayo they know nothing of,Jf nisehemu ambayo kupata ukweli wa mambo ni jambo la kawaida,nimekuwepo hapo muda mwingi kufahamu hilo unlike some of us.

2. Hoja zimetolewa, nyingine umezipinga nyingine ukazikubali.

Sio kila hoja lazima niijibu,wengine ni mawazo yao binafsi yasio na msingi.

3. I you read between the lines, inaonesha jibu ulikuwa nalo!

Jibu nimeshapata,ni kweli tena hapa JF.

4. Hii haioneshi kwamba ulikuja kutafuta ni wangapi walisikia ishu ya mshikaji wako TIPPO?

Ni kweli,nanimefahamu pia wanasema nini kuhusiana na sakata zima.


Sasa kama una lazaidi pia unaweza kuleta.
 
Wadau naomba kuchangia katika hili, mimi nilimsikiliza DJ choka (http://djchoka.blogspot.com) kuwa alipelekwa na Zizzou kuuza tisheti siku ya mechi ya Taifa star na Ivory Cost, mbaya zaidi hakumpa hata nauli ya kurudia, mwisho wa siku jamaa akaomba simu ampigie boss wake na ile simu ikaibiwa, jamaa akaweza Bond Laptop ya Boss wake alokuwa anaitumia kuapdate Blog yake, mananeo mengi sana kama wapo wanaweza kutulete maelezo zaidi..
Choka amejitoa kwa Zizzou na hataki tena any project naye.


Ndo yangu..
 


Huyu dogo hana upeo....thats why hata presenter wa siku ile walimpa live....
 
Mh! ni mtoto wa KIUME kweli huyu DJ CHOKA?


yap...ni MTOTO WA KIUME ila anakosa UANA-UME....(mambo ya BOYZ-TOwards-MEN) aliyoyafanya ni ya kitoto ila wa kiume...amekosa ukomavu wa kiume na kutoa maamuzi plus interview ya kitoto.

anayo hoja ya msingi lakini amei-present kiasi kwamba ameonekana kukurupuka plus ujinga ndani yake...dogo anayo kazi ngumu kui-convice audience yenye akili timamu kama ya JF...ila pia blog yake kiasi flani naona kama inahitaji mtu wa ku-edit kabla haijaenda public maaana nayo inaelezea kiasi gani upstairz asivyokuwa smart...ni maoni tuu
 
Be serious man, "mtu wangu wa karibu hakusikia vizuri so hakunieleza vizuri, aliyesikia alete habari hapa" sasa what are we supposed to discuss here?
 
maelezo ya kina. CHOka ni momma boy fulani
 

wewe ungekua mtaani kwetu tungekuita mshanta.....yani mwanaume mbeya....hahahhaahha.....usije kulaumu ukianza kutafutwa!
 
Be serious man, "mtu wangu wa karibu hakusikia vizuri so hakunieleza vizuri, aliyesikia alete habari hapa" sasa what are we supposed to discuss here?

... I like the way you have put it. 🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…