Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Haya ni baadhi ya mambo muhimu kuzingatia kwa wadau wa online dating au utafuta wa marafiki na wachumba mitandaoni.
- Hakikisha unapata picha kamili ya huyo baby unayewasiliana nae huko mtandaoni, picha ile ya utosi hadi unyayo. Ukiona huyo baby wako wa online hataki umuone yukoje, hapo tayari majibu unayo, wewe kimbia na ukae mbali kabisa.
- Picha ziwe tofautitofauti za moja angavu zenye kuonesha engo zote bila na zisizoacha mashaka. ukiona unatumiwa kipicha kimoja au kipande tu cha picha au inaonesha kifua tu kuja juu, majibu tayari unayo, wewe kimbia na ukae mbali kabisa.
- kuna watu wanavaa madela/baibui na hizi nguo kubwakubwa. hawa kuwa nao makini sana. hakikisha unaona pasipo shaka kilichomo ndani ya izo dela au baibui kabla hamjaonana. ukiona huyo baby wako wa mtandaoni hataki uone kilichopo ndani ya dela, majibu unayo, wewe kimbia na ukae mbali kabisa.
- Mara ya kwanza hakikisha mnakutana sehemu ya wazi penye watu wa kutosha. mfahamiane kwanza maana mmekutana tu mitandaoni huko, ukiona huyo baby wako wa mtandaoni hataki muonane sehemu ya wazi, majibu unayo, wewe kimbia na ukae mbali kabisa.
- Usiseme hujaambiwa.
Mengine wengine mtaongezea