Tips on how to survive and make life easier (Funny truth)

Nikitaka kununua gari nawaambia marafiki zangu wale wenye midomo. Ili nipambane hadi ninunue tofauti na hapo watanicheka. Itakuwa hamna namna zaidi ya kupambana ili nisionekane limbukeni.
Tumezungukwa na snitches sana, watu wa karibu ni wabaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…