Tips to Ladies: Kuzaa sio mwisho wa urembo

Tips to Ladies: Kuzaa sio mwisho wa urembo

Shenazi

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2013
Posts
204
Reaction score
128
Habari tena kwa mara nyingine Ladies....Nyie ndo mnaoongoza kuumia mioyo inabidi tu msaidiwe kujua how Men are...kuna vitu vingine mwanaume hawezi kusema lakini moyoni vimeshapigiwa mstari kitambo..

Kwa wale ambao bado hamjazaa na hata wale ambao sasa ni wajawazito...Na wewe mwenye watoto au mtoto tayari,THIS IS IT...

Kama kuna mambo yanafanya Baba wa mtoto wako,au Boyfriend kwa nyie ambao mmeamua kujihalalishia kuishi na wanaume bila kwenda Kanisani,Msikitini wala popote,mkaamua kuishi gheto kisela tu,Mungu atajibeba mwenyewe sikieni hili...

Men can not handle Surprises....Ukimuuliza Mwanaume wako amekupendea nini atataja vitu flani hivi...Oh napenda una moyo na Tabia nzuri...SAWA....Atasema yoteeee,unapenda Mungu...Huna hasira...Una roho nzuri,na kila kitu...

Kuna vitu alikupendea lakini ukimuuliza hawezi kuvisema....Wanaume wanapenda Physical parts pia...Kuna wanaopenda nywele...kucha...Maziwa...Miguu....Vinyweleo....Smile...Dental formula ya Meno.....Inye gwedegwede...Shingo...wengine wanapenda hata Sauti tu...

Wengi wanapenda Figure...Aidha Namba 8...Awe Miss...Au mwenye kitu ya kuua mutu!

Wanawake wengi wanapokuwa wana ujauzito/mimba...Na wanapozaa...Wanajisahau...Huu ndio ukweli...Tena wale waliooa ndo zaidi...Wanaona aah mwanaume kashaniweka ndani,sina haja ya kujicomplicate sanaaaa...KOSAAAA!

Mwanaume hazeeki jamani,Ng'ombe hazeeki maini kamwe...Alikupenda akiwa na miaka 22,leo ana miaka 40 lakini hajapoteza taste ya vile alivyokuona,akakuhusudu akakubali kushea maisha na wewe...kuna touches alikukuta nazo,ni vema uzitunze,japo hazitakuwa intact all ur life lakini try to maintain...Nawajua wanawake aged,wana miaka 50 lakini wako Super..Wanaita ile mbaya...Wana watoto zaidi ya wa4...Wamewezaje na wewe ushindwe una nini???

MAINTAIN YOUR SHAPE

Ni kweli kukaa na mtoto miezi 9 ni kazi...Ni kweli utapata Sleepless Nights kumtunza mtoto baada ya kuzaliwa...Ni kweli kuna hatari ya ku-gain weight sana baada ya kuzaa,but hiyo si sababu ya wewe kujiachia na kuwa kama Furushi la Bhangi...

Mtu amekuoa mwaka jana,ukiwa booonge la Demu,akawa very proud kutembea na wewe njiani,kukutambulisha kwa marafiki zake....Leo umezaa mtoto mmoja umejiachia,hujitengenezi,urnt smart,umeachia mwili huooo kama zigo la Bhangi...Eh...SAPRAIIIIZZZZZZZ....Hii wanaume hawataki...

Atapoteza mvuto na wewe...Utalalamika mmeo harudi nyumbani mapema.....Hajisikii tena tendo la ndoa na wewe coz UMEBADILIKA....Ataanza kutafuta watu wengine nje wenye mvuto kama uliokuwa nao wewe alipokuona first day....Utamlaumu???

Getting married is 1 thing....THEN...Linakuwa jukumu...Maintain your marriage....Mpe mume sababu za kuendelea kukupenda kama alivyokuona mara ya kwanza...kufunga ndoa ukadhani umemaliza kila kitu ni KOSA...tena sio tu kosa,ni SUMU! Do not kill yourself...Dont murder your own Marriage wakati unaweza kuifanya i-work...

Get pregnant...Keep yourself Fit....Go gym...if not just do some exercise,make sure ur healthy na you maintain your shape....

NO SURPRISES PLEASE!

Share
 
M 43 yrs wtt 3 na nmemaintain kiac madogo wa about 30yrs wananishobokea mbaya...nikiwaambia wakae mbali nami kwanza ni mke wa mtu pili mimi ni mkubwa kwao... Hilo la ukubwa hawaamini kbsa. Cku nyingine ntaweka picha. Nakubaliana na wewe coz wakati wa ujauzito na baada nimefanya sn mazoez ya viungo... Mabinti waahamba huwa wanaona najifanya mdogo huwa nawambia sawa..nyie subirini uzee wkt bado wadogo na uzee mjue unaanza miaka 60 sasa mimi wa 40 ukiniita mzee, mzee atakuwaje???
Ladies chukueni ushauri wa mleta uzi.
 
Sasa haaaaapa mazoezi yanahitajika na lishe bora,ok ushauri mzuri sana huu
 
mleta thread you are so right...wengi wanajiachia mnoo, not only after pregnancy but even after marriage, mtu ananenepa kuleee, eti ndoa tamu,mxa...my dears, punguzeni makilo hayo, if you dont you'll end up looking older than your husband..nimempenda bure huyo dada ambaye ni 40 looking 30, way to go lady!
 
Jamani si tumekubaliana for better and for worse sasa hiyo ya kunyanyasana ya nini......
 
Mtu anaolewa modo kweli kweli,akikaa miaka mitatu tu anafurumuka utafikiri sijui nini. Eti kwa kuwa ameolewa haina haja ya kupendeza,kitimoto kilo nzima twende,bia twende,chips yai twende,shingo za kuku na mifupa yake twende..khaa jamani,ukiuliza eti diet for who na nina mume tayari..mwe.acha tu wakimbie
 
BBpac6y.jpeg


Uzuri wa kujitunza baada ya kuzaa, hapa ni mama, (35) with her twins teenage girls, lakini anaonekana kama dada yao.
 
Pregnant-Halle-Berry-her-daughter-Nahla-Aubry-went-Mother.jpg
halle-berry-talks-plastic-surgery-aging-and-valentines-day-1__oPt.jpg


Halle Berry, 2 kids, almost 50. Kabla na baada ya kuzaa her second.
 
Holly-Robinson-Peete-Feet-299874.jpg
holly-robinson-peetes-photogenic-lil-pumpkins-3-960x1440.jpg



Holly Robinson Peet, (50+) na watoto 4
 
Kumbe kuna Jukwaa jipya huku!

Naona mambo si mabaya
 
Bana eeeeh... too much mutuwacheeeeee pyeeep
 
Sijawahi kuhangaika sana na mwili wangu baada ya kupata watoto, zaidi ya mazoezi ya kawaida. Pia ngozi yangu haina michirizi sana labda kidogo kwa mbali kwenye makalio nafikiri ni asili tu. Kuna watu huwa wanahisi sina mtoto hata mmoja.
 
Back
Top Bottom