Tips za kumfanya mwanamke akuone expensive!!


ex-pensive maana yake si ndo pensive wa zamani? Ili iweje? Utachekwa!
 
Kwa nini mwanamke akuone expensive na asikuone jinsi ulivyo?? matokeo yake anakuwa na matarajio makubwa akija gundua ulikuwa una pretend anakupiga chini muache mwanamke akupende jinsi ulivyo sio ujifanye expensive.
 
Akikutana na njemba zinazokaba mpaka penati unapigwa chini!.
 

Hivi; kuna faida gani kuficha hisia? Kila mtu akificha hisia zake, utamu wa mapenzi uwapi?
 
Fanya hayo uone kama hujatupwa huko. Tena ukikutana viburi wasiojua kubembeleza ndio utaisoma namba.
 
Reactions: Sal
Sasa naelewa kwa nini wanafunzi wanafundishwa darasa moja na mwalimu mmoja, mtihani mmoja, siku moja lakini wengine hufeli. Mbinu dhaifu za watu hupelekea kufeli. Nini maana ya u-expensive?
 
I tried this once upon a time ikafanya kazi but i wont press my luck that hard,never again.
 
Hahaha, msimkatishe tamaa jamani, si atawapata wale wanaopenda expensive??? Akishawapata sasa aanze kusome na kuapply mbinu za kuwamaintain hao, hio ndio kazi.
 
Yani we wa hivi unatakiwa ukutane na watu kama mimi nakunyoosha kwanza ujue nini maana ya kupenda hujapenda bado wewe uuteke moyo wangu alafu unizingue?
 
Reactions: Sal
sasa hayo mimi ndio nafanya. Lazima utasema sina mapenzi ya kweli. Mwanamke ni wa KUTAFUTWA sio KUTAFUTA.
Mie ukiuchuna utajuta, kama untanisikia.
 
we umeyafanya hayo, niambie umeachwa na wangapi mpaka sasa
 
Unachoongea ni sahihi kabisa..
Yameshanitokea hayo......na nime experience sana
Asante sana kwa habari hii mkuu
 
Sidanganyiki.
Nishachoka kupiga puchu.
Expensive uh? And Then What?
 
Khhaaa sasa hayo maigizo ya nn??..may be it works for you, but I will never fall nor be impressed by that lol
 
Japo wengi mmeponda, ila nahisi ukitafakari vizuri, kuna point!! Wasichana wengi siku hizi wakiona mara kwa mara unataka kuongea nae, ooh nimekuota, nimekumiss nyingiiii..... anakushusha, kifupi ataona huna point mda wote! Hata simu wanapokea kwa kebehi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…