Tirdo

Tirdo

Ndahani

Platinum Member
Joined
Jun 3, 2008
Posts
18,160
Reaction score
9,151
Jamani, hivi TIRDO, au Tanzania Industrial Research and Development inafanya kazi gani tena? Mbona hatujawahi kusikia popote kuhusu tafiti zao wanazofanya? Halafu wanafanya nini tofauti na ile tume ya sayansi iliyoko Kijitonyama?
Naombeni msaada nipate kuelewa tafadhali
 
watakuwa wamekwenda china kufanya research soon watakuja
 
sisi nchi zinazoendelea tuige mfano wa china na India ambao wanafanya too basic research ambapo wanakuja na technologia ambayo inawasaidia wajasilimali kuwekeza kwa kutumia mitaji midogo. Ni wakati muafaka kwa taifa kuwa na sera ya research kwa academic institution as well as technology transfer ambazo zitakuwa rafiki kwa wajasiliamali mbali na kufanya tafiti kibao amabzo knowledge hizo zinaozea katika makabati ya East African pale UDSM. Ni imani yangu tutaendelea kuwa sehemu muhimu kwa taifa kwa kufanya research ambazo zitakuwa na tija kwa taifa badala ya kuwa na objective as if upo NASsA america. we vipi?
 
Back
Top Bottom