makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Wazee nauza tire/tyre mobility kit, hii ni pump ya kuzaja upepo kwa emergency ama hata nyumbani pia inatumia umeme wa gari, unachomeka kwenye kibiriti pale, mambo mswano. Nimetestia kujazia tairi ya nissan xtrail na ikajaza 30psi ila gauge inaruhusu mpaka 90psi
Ndani ya kit unapata/unakuta.
1. Pump yenyewe
2. Kifaa cha kuzibia pancha
3. Kifaa cha kuvutia gari(chuma cha kufungia kamba)
4.spana(10-12) na star
Bei 250,000
0659445718
ERoni
Nilileta uzi humu, naona umefutwa sijui nausaka siuoni, sasa mods kama mnafuta nyuzi, muwe mnasema ni kwa sababu ipi ili kosa lisirudiwe tena.