Are you one of "US"??!Watu aina kama yangu watajua namaanisha nini..
Being an introvert has affected my social life yaani,I had rather stay at home watching series than kujichanganyachanganya na watu...
Pia yaan mambo mengi tu hunipita [emoji81][emoji81] zile outings na bf nyingi waga nazi-cancel for no reason
Hivi what can i do to cope with it?
Watu aina kama yangu watajua namaanisha nini..
Being an introvert has affected my social life yaani,I had rather stay at home watching series than kujichanganyachanganya na watu...
Pia yaan mambo mengi tu hunipita [emoji81][emoji81] zile outings na bf nyingi waga nazi-cancel for no reason
Hivi what can i do to cope with it?
Ni maamuzi tu, amua kuithibiti hiyo hali na bf wako akitaka kukutoa out jitahidi sana usikatae. Fanya hivyo mara kwa mara utaweza kushinda. Mkienda nje huko msiache kunyanduana. Mjitengenezee kamazoea kakunyanduana mkitoka out
Introvert mnajiendekeza sana ndio maana mnakosa vingi kwa kujikuta nyie bora kuliko wengine
Stay humble
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Pole sana kudate na watu kama wewe ni shida sana hasa kama BF ni mtu wa kujirusha mwisho wake penzi hufa. Twende lunch leo, hapana. Saturday twende dinner kisha tukajirushe club, wewe nenda tu. Sunday twende coco beach tukapigwe na upepo wa pwani, we nenda tu mimi sipendi kutoka Jumapili. [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Are you one of "US"??!
Being an HSP (Highly Sensitive Person) has taken a toll on me. :
People dont understand us. We connect with animals, music, nature than anything else. :
We prefer a solitary life so that we can digest everything around us, we have alot to process. :
Social interaction & gatherings are overwhelming to us, they are simply irritating. We get to understand people's emotions at a deeper level than an average person. :
We look too much into people and things, we are highly intuitive. :
We see details that others dont see. We are about 15 to 20% of the world population. :
We cry over anything, from watching a sad cartoon movie to seeing an animal getting hurt. Horror movies, anything scary is unbearable. :
My family and people around tell me to toughen up, they think am weak, too emotional, a crying baby, but thats who i am an (HSP) its genetic , they need to take it easy with me.
Relationship are usually tough on us because we dont connect with people easily ( Even our partners ) and the fact that we are highly sensitive to our surroundings Ie. Noise, smell, weather, fabrics, skin, makes matters worse!
Wewe hata bila chanjo unaelekea kuwa zombie jichanganye UTAISHIA kuwa chizi
[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81] sawa rafiki angu