Jf
wakuu after two years toka ni graduate na kuwa employee, najiona live niko kwenye kamchezo ka paka na panya i.e always nahangaikia swala la pesa bila ya kujua way out. Nikiangalia 10 years za kuishi life style hii napata kizunguzungu. Lakini proper diagnosis is half a cure. Naamini hapa jamvini ntapata wisdom ya kutosha na ikiwezekana hata path ya kupita kuondokana na life hii. Nna wazo la kustart business lakini sijui na wala sijawahi kufanya biashara yoyote toka nizaliwe. Nionyesheni njia wakuu.