M M-bongo JF-Expert Member Joined Feb 29, 2008 Posts 338 Reaction score 71 Jun 18, 2008 #21 Ndio tatizo la kuwa na viongozi vikaragosi ambao always lazima wawe tayari kutetea wakubwa ili mambo yao yawanyookee wasijekatwa majina wakati muafaka utapofika what do you expect serukamba afanye kwa hali ya kisiasa KG?
Ndio tatizo la kuwa na viongozi vikaragosi ambao always lazima wawe tayari kutetea wakubwa ili mambo yao yawanyookee wasijekatwa majina wakati muafaka utapofika what do you expect serukamba afanye kwa hali ya kisiasa KG?
Mzee Mwanakijiji Platinum Member Joined Mar 10, 2006 Posts 33,771 Reaction score 41,027 Jun 18, 2008 #22 hii mada mbona iko hapa naona mtu analalamika zinafutwa...