Tetesi: Tishio la kumuondoa Mufti BAKWATA

mi n muislam ninaejitambua na hata cku moja huwez Nikuta nashabikia uvyama na nafaham kuwa bakwata ni chombo ambacho sio sahihi kukiamin coz kpo chin ya dola na hata alieisis kihistolia hayupo sawa na hat viongoz wake ukiwafuatilia in haohao ninachopinga mm in kumkufulisha muislam bila kumsimamishia hoja, coz wapo waislaam wanajua kwa uelewa wao kuwa n chombo sahihi kabisa lakin coz hawana elim juu ya bakwata
 
Huyu sheikh Ponda ananini na serikali yetu ? Kweli hakuna mtu wa kuweza kumnyoa ndevu atulie ? Elm dunia hana na nina wasiwasi hajakwenda hijja au jandoni
 
KABAMBE
 
Sijamwita muislamu anewafata bakwata kafiri, ila nimesema bakwata ndo makafiri.

Na webu nambie Muislamu ambae anavaa koti la uwongozi wa uislamu halafu kumbe hatumikii uislamu bali anawatumikia maadui wa uislamu kwa waislamu huyo ni nani? Muumin au?
 
nadhan jibu nlikupa kwenye Uzi uliopita angalia kwa making nlisema hukumu hiyo inawaenea viongoz tens wanaolijua hlo swala ila wapo hawa was kwetu huku maskin hawajui hili wala lile wao wanajua n chombo kitakatfu so elimu ya kutosha itawasaidia
 
Sijamwita muislamu anewafata bakwata kafiri, ila nimesema bakwata ndo makafiri.

Na webu nambie Muislamu ambae anavaa koti la uwongozi wa uislamu halafu kumbe hatumikii uislamu bali anawatumikia maadui wa uislamu kwa waislamu huyo ni nani? Muumin au?
Hao maadui ni kina nani?
 
Allah amuweke mahala pema peponi al-marhum Sheikh Hemed bin Juma bin Hemed.Alikuwa kiongozi kweli.Mweledi,mwenye elimu,busara,hekima na aliyejaaliwa kuwa muadilifu.
Allah amsitiri kwa mapungufu yake yoyote ya kibinaadamu.
 
tetesi zako zita timia lini? mbona kimya kime tamalaki
 
Sasa huo ni UDINI .... je ni chama gani cha kisiasa kando na CCM ambacho ni cha WAISLAMU tupu?
 
Sasa huo ni UDINI .... je ni chama gani cha kisiasa kando na CCM ambacho ni cha WAISLAMU tupu?

Unaposemwa ukweli inakua ni udini.
sijasema kama kuna chama cha waislamu. Ila Ccm ni chama cha kikatoliki, na moja katika ajenda zake kubwa ni kuukandamiza uislamu.
 
Unaposemwa ukweli inakua ni udini.
sijasema kama kuna chama cha waislamu. Ila Ccm ni chama cha kikatoliki, na moja katika ajenda zake kubwa ni kuukandamiza uislamu.
Viongozi wa Bakwata kwa 'ufadhili' mkubwa wa serikali wamekua vipofu na viziwi
 
Suub-hanna-allahu! Fumanizi kabisaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…