ameshaingiza posho yake safiSawa kachukue buku 7 yako upeleke posho nyumbani watoto wale.
M23 wamewatoa kamasi, saivi mafwele anawatoa mavi.Naangalia mitandaoni naona kuna mtu kavaa musk kajirekodi sijui wameanzisha kikundi cha Uasi nikajiuliza huyu anaifahamu Tanzania Vizuri??
Kikundi cha Uasi Tanzania??? Nawaambia hata siku mbili hakitachukua JWTZ ndo wakali wa hizo mambo hivi hamjiulizi Taangu tupate Uhuru kwanini vikundi hivyo havipo Tanzania?
Ila vijana ability ya kufanya reasoning imepungua sana haya ni kama ya Habil na Kabil Captain Tesha, na Cornel Agustino Polepole.
Captain Tesha alikua ni muumini wa Kanisa la Gwajima tuu. Akina Habil na Kabil kama mnavyojua
Akatokea Mlevi mmoja anaitwa Agustino Polepole mpaka sasa naona mmeshamfahamu mwaka ndo kwanza unaanza tutasikia mengi.
Kwa Tanzania Mazingira hayaruhusu ku operate vikundi vya uasi usifananishe Tanzania na Burundi na DR Congo???
Endeleeni Kuota.
kwani hatujui mnavyolippwa mnanuka shida wenzenu wanapiga mamilion nyie vibaraka mnapewa elfu 7Malipo sasa hivi kwa mwezi 3m siyo buku 7 tena
Hata mbuyu ulianza kama mchicha.Naangalia mitandaoni naona kuna mtu kavaa musk kajirekodi sijui wameanzisha kikundi cha Uasi nikajiuliza huyu anaifahamu Tanzania Vizuri??
Kikundi cha Uasi Tanzania??? Nawaambia hata siku mbili hakitachukua JWTZ ndo wakali wa hizo mambo hivi hamjiulizi Taangu tupate Uhuru kwanini vikundi hivyo havipo Tanzania?
Ila vijana ability ya kufanya reasoning imepungua sana haya ni kama ya Habil na Kabil Captain Tesha, na Cornel Agustino Polepole.
Captain Tesha alikua ni muumini wa Kanisa la Gwajima tuu. Akina Habil na Kabil kama mnavyojua
Akatokea Mlevi mmoja anaitwa Agustino Polepole mpaka sasa naona mmeshamfahamu mwaka ndo kwanza unaanza tutasikia mengi.
Kwa Tanzania Mazingira hayaruhusu ku operate vikundi vya uasi usifananishe Tanzania na Burundi na DR Congo???
Endeleeni Kuota.
Ila kiukweli Mafwele ni kidume dhidi ya majeshi yote...nimeamini kwa dhati kabisaM23 wamewatoa kamasi, saivi mafwele anawatoa mavi.
Acha kuishi kwa historia hao hawana lolote kwa sasa wanawatisha raia wasio na silaha.