Tishio la Kuunda Kikundi cha Uasi

kawaida yenu hiyo wauwaji hata maandamano mlikua mkiamini watanzania hawawezi kuingia barabarani nyie tulieni muda utaongea anzeni kuficha familia na uzao wenu laasivyo mtakua mnawaokota daily
 
Kikundi kipo kinaitwa Black October 29 kazi yake ni kuwashughulikia mapolisi tu na chawa wa mama
 
ZCO matata kabisa kuwahi kutokea mi naona wangempandisha awe DCI jamaa ni Nguli wa Intelligence
Sanaa!! Bakabaka wenyewe wanamjua huyo mwamba,wanasaluti kwake.. Captain Tesha kabinywa kende namna fyokofyoko, na wale wajeda waliochana picha ya Rais sasaivi na kazi hawana na torturing walipata... according to speech of mr Mafwele,from audio clip..

Police ndio jeshi lenye nguvu kwa tz na ni imara sana sana.
 
Mafwele ni kiboko ya hao jwtz
Jamaa kalifanya jeshi la police kuwa la kibabe...nilimsikiliza speech yake anasema tumewakamata pia Askari wa ulinzi wawili kwa kuchana picha ya Rais, na yule muhuni captain Tesha,akamalizia hao wote kifuatacho ITV.....

nikajua jamaa anafaa awe Cdf au IGP, hakuna Nchi itakayoleta fyokofyoko kwetu ....big up Mafwele
 
Mharifu gani hana silaha tena wanakutwa nyumbani kama sio usenge ni nini? Hizo samu lazima mzilipie mbwa nyie
Hukuona wakora wanachoma petro station? Hukuona wahalifu wanaiba kwenye maduka ya watu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…