TISS ya kipindi cha Nyerere ilizuia njama ya marekani kupindua serikali ya tanzania

Status
Not open for further replies.

CPA

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2011
Posts
809
Reaction score
354


Katika pitapita zangu nimekutana na hiyo habar! Kumbe marekani ilitaka kuipindua serikali ya nyerere, Usalama wa taifa ikanyaka mawasiliano. Chezea TISS ya mwl nyerere

Source;businesstimes
 
Wakati huo nchi ilikuwa ina watu wenye akili, kwa sasa matatizo yote yanayoikumba nchi ni kwa sababu ya TISS isiyo adilifu na yenye uwezo duni.Km nchi ina security makini kusingekuwa na haja ya kamati teule kushughulikia ishu za wizi wa mali za umma wa waziwazi alafu serikali isijue, tume ya Warioba isingeleta maoni ambayo serikali haikuyapenda na kutumia nguvu nyingi baadaye kuyabadilisha n.k.
 

hivi miaka inavyokwenda mbele akili na teknolojia huwa vinarudi nyuma? ..changamoto zinapungua au zinaongezeka.......? matishio je.... tafakari....so consipiracy drives peoples mind..i thinnk.
 
mda mwengine natamani kujiunga na hao jamaa nisaidie wanyonge,nkipita huko barabarani kuna uonevu mwingi,ningechukuliwa na hawa jamaa ningefanya kazi kwa moyo mmoja kuisadia yetu nchi kuijenga.Kama mnapita hapa wakuu wa hii taasisi mi ni raia wa kawaida tu ila nina upendo na hii kazi yenu.
 

Hutamaliza hata mwaka kazini.
 
Hiyo ni sehemu ndogo tu ziko details nyingi kuhusu mapana ya Operesheni za Ujeruman... Kenya na hata ndani ya USA wenyewe walipotaka kumrecruit Ofisa wa ubalozi wetu awe Mole... taasisi ipo vzur hata sasa isipokuwa kwa mujibu wa katiba yetu inaweza ingiliwa na utendaji wa Kisiasa na hapo ndipo changamoto inapokuja.
 
Reactions: Paw
TISS bado ipo tena zaidi ya kipindi hicho kwa sasa...Sema kwa sasa Dunia imekua kijiji na habari zinasambaa sana kwa internet....But i assure u tupo hot and hotter than u think
 
Reactions: Paw
Na hilo ndo watu wengi hawajui na kubaki kuilaumu tu
 

huo ndio ukweli. Hii taasisi ipo njema sana ila hizi siasa ndio znaharibu kila kitu. Siasa zmeingia mpaka kwenye taasisi muhim kama hii. Inakera sana
 
Ndo maama twaishi kwa raha hata baba akiwa mbali na sie
 

Halafu baada ya kutoka Dar es salaam Frank Carlucci alienda kuwa mmoja wa mabosi wa CIA
 
TISS bado ipo tena zaidi ya kipindi hicho kwa sasa...Sema kwa sasa Dunia imekua kijiji na habari zinasambaa sana kwa internet....But i assure u tupo hot and hotter than u think

How naweza kua mmoja wenu maana sijapata bahati kbsaa ya kupata hata fununu za kufanya kazi na nyie naona tu ofisi zenuu na yani naiogopa ofisi ya tiss kama nini sijui nataman nijitose nikaulize namna gani mnatafuta watu na mnafanyeje mpka mpate mnayetaka maana mimi kwenye ukooo wetu karibia wote hatuna hata askarii police aisee yani inshort hakuna aliyeajiriwa serikalini sasa nasikia huwa mnatafutana kiukoo basii mtusaidie na sisi jaman tuweze kua sehem ya taica hill kufanya kazi za weledi maana sidhan kama hatuna sifa either ki akili.kiafya na hata ki katiba kuweza kutafutwa na tiss jaman mmh kwa kweli saiz nishakata tamaa tuu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…