Tit for Tat. Baada ya Kenya kuzuia ndege za UAE kutua Kenya, UAE wameamua kuondoa marufuku waliokuwa wameweka dhidi ya ndege zinazotokea Kenya

Tony254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2017
Posts
16,017
Reaction score
16,431
Wivu battalion ya TZ ilikuwa inasema kwamba kitendo cha Kenya kulipiza kisasi kwa kuzuia ndege za UAE kutua Kenya haijazaa matunda. Hio ni uongo kwa sababu UAE wameamua kuondoa marufuku waliyokuwa wamewekea ndege kutoka Kenya. Mimi kutoka mwanzoni nilisema hawa wajinga waarabu wanastahili kushughulikiwa vivi hivi. Wakimwaga mboga tunamwaga ugali. Sasa wameshika adabu wamewachia. Next ni Tanzania, tukae ngumu na Tanzania maana wametuzoea sana.

Wacheni kujikosha apa, kwani zuio limeondolewa kwa ndege za Kenya pekee ama nchi zote zilizozuiwa awali
 
Sisi kwa kuwapiga wao viboko wameamua kuwachia na Waafrika wengine pia. Mnastahili kutushukuru sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tony bana unafurahisha kweli ...eti baada ya nyie kuwapiga viboko ...hivi kweli nyie mna ubavu wa kutunishiana misuli na Emirates
 
Wewe hujaona baada ya sisi kuwachapa wamefungua kabisa hata na kufungulia Waafrika wengine?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya bana jifurahishe mna ubavu huo
Nyie wengine mlipigwa ban mkanyamaza. Waoga sana nyie. Nchi pekee ya Afrika iliyolipiza kisasi ni Kenya.
 
Sisi kwa kuwapiga wao viboko wameamua kuwachia na Waafrika wengine pia. Mnastahili kutushukuru sana
Nadhani mlijifunza kutoka Tanzania hii tabia ya kulipiza kisasi, mnakumbuka mlivyozuia ndege toka Tanzania na sisi tukajibu kwa nguvu zaidi baadae mkuaachia?, Ila mlilalamika Kama kawaida yenu kwamba tunawaonea wivu, kila mbalofanya ninyi kwa wenzenu ni OK, ila mkifanyiwa ninyi sio sawa[emoji23][emoji23]
 
Wivu battalion ya TZ ilikuwa inasema kwamba kitendo cha Kenya kulipiza kisasi kwa kuzuia ndege za UAE kutua Kenya haijazaa matunda. Hio ni uongo kwa sababu UAE wameamua kuondoa marufuku waliyokuwa wamewekea ndege kutoka Kenya. Mimi kutoka mwanzoni nilisema hawa wajinga waarabu wanastahili kushughulikiwa vivi hivi. Wakimwaga mboga tunamwaga ugali. Sasa wameshika adabu wamewachia. Next ni Tanzania, tukae ngumu na Tanzania maana wametuzoea sana.

Yaani nyie Kenya 🇰🇪 mkuu juu sana, yaani level zenu ni sawa na USA 🇺🇸, ila wamewazidi ung'eng'e tu.

Sasa hayo mashindano yenu na Mwarabu kawapostie watu wa level zenu, UK, DE, NL, CA na kadhalika.

Sisi Watanzania kwanza Tina kero nyingi zinatushinda. Polisi wameua raia asiye na hatia, wakampora pesa yake, sasa mapolisi waliofanya uhalifu wameanza kuuana wao kwa wao.
 
Kenya bingwa wa diplomasia vp mnaiga udikteta uliofanywa miaka kadhaa nyuma na jirani yenu.
 
Kwa hivyo wewe uliyekuwa unamsifu Magufuli leo unamuita dikteta? Wacha unafiki.
 
Back
Top Bottom