Wewe hujaona baada ya sisi kuwachapa wamefungua kabisa hata na kufungulia Waafrika wengine?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tony bana unafurahisha kweli ...eti baada ya nyie kuwapiga viboko ...hivi kweli nyie mna ubavu wa kutunishiana misuli na Emirates
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya bana jifurahishe mna ubavu huoWewe hujaona baada ya sisi kuwachapa wamefungua kabisa hata na kufungulia Waafrika wengine?
Nadhani mlijifunza kutoka Tanzania hii tabia ya kulipiza kisasi, mnakumbuka mlivyozuia ndege toka Tanzania na sisi tukajibu kwa nguvu zaidi baadae mkuaachia?, Ila mlilalamika Kama kawaida yenu kwamba tunawaonea wivu, kila mbalofanya ninyi kwa wenzenu ni OK, ila mkifanyiwa ninyi sio sawa[emoji23][emoji23]Sisi kwa kuwapiga wao viboko wameamua kuwachia na Waafrika wengine pia. Mnastahili kutushukuru sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tony bana unafurahisha kweli ...eti baada ya nyie kuwapiga viboko ...hivi kweli nyie mna ubavu wa kutunishiana misuli na Emirates
Yaani nyie Kenya π°πͺ mkuu juu sana, yaani level zenu ni sawa na USA πΊπΈ, ila wamewazidi ung'eng'e tu.Wivu battalion ya TZ ilikuwa inasema kwamba kitendo cha Kenya kulipiza kisasi kwa kuzuia ndege za UAE kutua Kenya haijazaa matunda. Hio ni uongo kwa sababu UAE wameamua kuondoa marufuku waliyokuwa wamewekea ndege kutoka Kenya. Mimi kutoka mwanzoni nilisema hawa wajinga waarabu wanastahili kushughulikiwa vivi hivi. Wakimwaga mboga tunamwaga ugali. Sasa wameshika adabu wamewachia. Next ni Tanzania, tukae ngumu na Tanzania maana wametuzoea sana.
Emirates Airline resumes flights to Nairobi after Dubai lifts suspension | Business Daily
www.businessdailyafrica.com
Acheni ujinga KenyaKwa hivyo wewe uliyekuwa unamsifu Magufuli leo unamuita dikteta? Wacha unafiki.