Mods, Tafadhalini tofautisheni majina hayo mawili. Aliyekuwa akijibiwa hapa ni yaya Toure, lakini post imekuja kwangu mimi yaya???!!!
Sisi ni watu wawili tofauti kabisa, hata kimaadili kwani siwezi ku-post kitu kama kile na mimi simjui huyo yaya Toure, labda kama yeye ananijua!
inasababishwa na mdudu mmoja anaitwa mndundu mpandanga ambae akikutana na layer ya lupos morous anacreate cycle na kuleta kitu inaitwa lupweco hii inakua kama uvimbe ila mtu kama huyu akionana na doctor anapata dawa
alovera ya kuchemsha nia dawa then unapaka daily liwowu ni dawa