Wandg wapendwa poleni na mihangaiko ya kila siku, tatizo linalo nisumbua ni kuwashwa sehemu ya kichwa cha uume wangu yaan kunakuwa kama kuna mdudu anatembelea ndani, kujikuna ni shughuli inabidi niipikiche kila hadi sasa nahisi maumivu, isitoshe kuna vinundu vinatokea happened. Jaman labda kuna dawa ya ktibu tatizo hili naomben mwenzen nitibike. Au inaitwaje ili nkanunue.