Title deed

Title deed

Nenda kwenye ofisi ya ardhi ya wilaya yako, waambie unataka title deed. Wao wanazo ramani za viwanja, na wataangalia kama kiwanja chako kimepimwa au la na matumizi yake ni yapi. Kama hakijapimwa watakuambia taratibu za kufanya pamoja na gharama zake. Baada yakiwanja cchako kupimwa, watakupa document ambayo utaipeleka kwa mwanasheria wako aicertify, kisha utarudisha wilayani. Ardhi wilaya watapeleka hizo documents wizara ya ardhi, na baada ya kama mwezi 1 au 2, title yako itatoka, na utaifuata mwenyewew wizara ya ardhi. Kama nimekosea wadau JF wanisaidie...
 
Back
Top Bottom