Mpogoro
JF-Expert Member
- Dec 7, 2008
- 387
- 58
Nina swali dogo wataalamu! Kuna plot moja nilinunua miaka kadhaa iliyopita na nikabadilisha title. Ila kila mwaka nikilipia land rent jina bado linaonekana na mmiliki wa zamani, mara nyingi huwa nalipia kwenye website hii ya ardhi "land rent". Nimepigwa nini? Mmiliki wa zamani kaka yangu š¤£