Tiwa Savage: Mfano Sex ingeondolewa kwenye mahusiano basi asilimia kubwa ya wanawake duniani tusingetoboa kabisa

Tiwa Savage: Mfano Sex ingeondolewa kwenye mahusiano basi asilimia kubwa ya wanawake duniani tusingetoboa kabisa

Melancholic

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2018
Posts
3,076
Reaction score
5,483
Tiwa savage "Wanawake bila Ngono hatutoboi" 🥶🥶🥶

Tiwa Savage 🇳🇬 : " mfano Sex ingeondolewa kwenye mahusiano basi asilimia kubwa ya wanawake duniani tusingetoboa kabisa. Haya wewe hapo jiulize swali ukiitoa sex (ngono) kwenye mahusiano Yako Kuna kingine ambacho mpenzi wako anafaidi? "

« kwa Sasa acha niseme ukweli. Asilimia 90 ya Wanawake kama hakuna pesa basi wengi wetu hatuwezi kua katika mahusiano

Tunategemea wapenzi wetu ndio watuhudumie lakini sisi hakuna kingine tunachowapa zaidi ya ngono tuu ni muda Sasa wakubadili hii tabia.

Jifunzeni kua na vitu vya thamani ni kweli huna kazi ila ukibahatika kumpata mwanaume wa kukujali, muheshimu akikwambia kitu mskilize, muhimize kusali sana na kummpa motisha ya kufanya Kazi kwa bidii usiwi tuu wakula pesa zake bila msaada wowote" Tiwa Savage Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria

Mdau toa maoni Yako 😁
Atoto cocastic FaizaFoxy Shunie Midekoo Sky Eclat Depal Mahondaw To yeye kuna uzi wenu huku
 

Attachments

  • FB_IMG_1728924822335.jpg
    FB_IMG_1728924822335.jpg
    57.7 KB · Views: 8
I no come this life to suffer
If I follow politician
You go hear am for paper
Them go call am prostitution
Who no like enjoyment?
If money dey for pocket
Shebi na national budget o?
We go blow am like trumpet e (okay)

Koroba koroba
 
Huyu bibi kaanza kuzeeka vizur

Tunaita ubibi wa busara siyo kama yule FaizaFoxy anayezeeka kwa taabu
 
Back
Top Bottom