Tiwawoniii!!!

Tiwawoniii!!!

Kachoki

Member
Joined
Feb 2, 2010
Posts
29
Reaction score
4
Tiwawoni maana yake ni habari zenu,
mimi nawasalimu na ninaona mnipokee,

asante

Kachoki
 
okeis!.
za wapi, za huko ulikotoka??.
karibu JF mkuu, jisikie uko nyumbani.
 
karibu sana
thatha sijui wewe brazamen au sistery do
feel at home kachoki
 
kachoki huyooooo.....karibu sana ku munyumba
 
yeo bambu.. karibu mgati; za kunyumba huko kwa bwina? Uwaleke wuli valongo wangu?
 
Back
Top Bottom