tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Wakamatwe waeleze watamtafutia Samia kura za ndio kwa namna gani wakati Samia mwenyewe ndio anapaswa kutafuta kura na sio kutafutiwa.Mratibu wa TK Movement Mkoa wa Kilimanjaro, Ahmed Karia amesema kuwa Umoja wa Vijana wa TK, watamtafutia Rais samia Suluhu Hassan ambaye ni Mgombea Urais kwa Tiketi ya CCM pamoja na Makamu wake Emanweli Nchimbi Kura za Ndio.
Soma pia: BAWACHA: TK Movement ni Jukwaa la Samia na CCM, hatuhusiki nao.
View attachment 3446319
Akizungumza na Banana Fm katika mahojiano Maalumu Hii leo, amethibitisha Hilo, akisema kwa namna Utendaji wa Rais Samia Suluhu Hassan hawana Budi kumtafutia Kura za Ndio, ili akamilishe Maendeeo anayoyafanya Mkoani Kilimanjaro na Tanzania kwa Ujumla.
Huyo jamaa ni mtanzania kweli? Uhamiaji mpo wapi?Mratibu wa TK Movement Mkoa wa Kilimanjaro, Ahmed Karia amesema kuwa Umoja wa Vijana wa TK, watamtafutia Rais samia Suluhu Hassan ambaye ni Mgombea Urais kwa Tiketi ya CCM pamoja na Makamu wake Emanweli Nchimbi Kura za Ndio.
Soma pia: BAWACHA: TK Movement ni Jukwaa la Samia na CCM, hatuhusiki nao.
View attachment 3446319
Akizungumza na Banana Fm katika mahojiano Maalumu Hii leo, amethibitisha Hilo, akisema kwa namna Utendaji wa Rais Samia Suluhu Hassan hawana Budi kumtafutia Kura za Ndio, ili akamilishe Maendeeo anayoyafanya Mkoani Kilimanjaro na Tanzania kwa Ujumla.
Karia ana uhusiano na Karia tfffHuyo jamaa ni mtanzania kweli? Uhamiaji mpo wapi?
Sijui.. ila huyo kwenye picha kakaa kama msomali au mu ethiopiaKaria ana uhusiano na Karia tfff
Karia tff anahusishwa na usomali piaSijui.. ila huyo kwenye picha kakaa kama msomali au mu ethiopia
Aha basi itakuwaKaria tff anahusishwa na usomali pia