TK shines brighter than as usual

Word has been going around in grapevines,that C which i take it to mean C masasi has been deported to tanzania-any grain of truth in this.
 
Word has been going around in grapevines,that C which i take it to mean C masasi has been deported to tanzania-any grain of truth in this.

nilimwona facebook nikajua yupo holiday,nimeona u -turn wanamsema kawa deported i dont know which is which......:confused2::madgrin:
 
Arifu....


hii kitu wallahi kama ni nguo basi ni jeans..haichuji kudadadeki....
huyu mtoto ni mbongo?!. Glory be to God... hiki ni kifaa!!!

jamani hivi ndio Cynthia Masasi alivyokuwa kabla ya mkorogo? ni yeye kweli au?
just asking
 
Hebu ngoja nianze kuzihesabu totoz zote kali za Kisukuma…

Cynthia Masasi
Miriam Gerald
TK
Flaviana Matata (she is borderline)

Mkuu kuna mmoja ulisema umemweka kwenye crosshairs zako mkuu unamkumbuka?
 
duh!inabidi nijiulize kama mimi ni mwanamke maana alivyo mzuri huyu binti
 
Arifu....


jamani anatamanisha!,umaskini huu ni tabu!

kweli cynthia ni mzuri mwanamke mwenzangu,
anajua kujiremba akarembeka,
hizo nyusi kope uzionazo ni za bandia,hizo nywele ni wig(lace front wig)
hayo macho yake ni lensi kavaa,
hiyo rangi ya ngozi yake kaichubua maana alikua mweusi tii,
huo uso hapo sijui una layer ngapi za make up,
akitoa hivyo vitu vyote nilivyokutajia unaweza kudhani ni mtu mwingine its like wearing a mask,lkn ndo kunaitwa kujiremba na sio ajabu mwanamke kujiremba,
kinachonifanya niongee haya yote,sio kama nina wivu na huyu dada wa watu,
tatizo kaka zetu wa jf siwaelewi kabisaaaa,maana ni juzi hapa mmepiga kura kupinga mawig mkasema mawig yanawakinaisha,kuna thread lizzy alianzisha mkacoment kuwa mnapenda tuwe real hata bra tusivae,
nawashangaeni hapa hakuna hata mmoja aliyeongelea hilo wig alilovaa wala nin zaidi mnasifia yuko hot na wengine kusema eti glory be to God.
Nyie kina kaka mnatuzingua tu,mtu akiwafatisha atadoda huku akiwashuhudia mnavyowashobokea wanaofanya mambo mnayoyapinga.
jaman wadada wenye mawig yenu mkiyatupa imekula kwenu.:majani7:
msione vyaelea vimeundwa.
 
ndo umewajua leo mpendwa.....hao wakisema be wanamaanisha de
 

Ha ha ha ha! umenichekesha sana kwa maneno yako!
Anyway JK alishatoa angalizo kuwa AKILI ZA KUAMBIWA UNACHANGANYA NA ZAKO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…