kweli cynthia ni mzuri mwanamke mwenzangu,
anajua kujiremba akarembeka,
hizo nyusi kope uzionazo ni za bandia,hizo nywele ni wig(lace front wig)
hayo macho yake ni lensi kavaa,
hiyo rangi ya ngozi yake kaichubua maana alikua mweusi tii,
huo uso hapo sijui una layer ngapi za make up,
akitoa hivyo vitu vyote nilivyokutajia unaweza kudhani ni mtu mwingine its like wearing a mask,lkn ndo kunaitwa kujiremba na sio ajabu mwanamke kujiremba,
kinachonifanya niongee haya yote,sio kama nina wivu na huyu dada wa watu,
tatizo kaka zetu wa jf siwaelewi kabisaaaa,maana ni juzi hapa mmepiga kura kupinga mawig mkasema mawig yanawakinaisha,kuna thread lizzy alianzisha mkacoment kuwa mnapenda tuwe real hata bra tusivae,
nawashangaeni hapa hakuna hata mmoja aliyeongelea hilo wig alilovaa wala nin zaidi mnasifia yuko hot na wengine kusema eti glory be to God.
Nyie kina kaka mnatuzingua tu,mtu akiwafatisha atadoda huku akiwashuhudia mnavyowashobokea wanaofanya mambo mnayoyapinga.
jaman wadada wenye mawig yenu mkiyatupa imekula kwenu.:majani7:
msione vyaelea vimeundwa.