TLP: Kudai katiba Mpya ni kuichonganisha Serikali, Katiba Mpya haipo kwenye ilani ya CCM

Ni lini Watanzania mlikuwa na Akili? Kuna mambo mengine mnamsingizia tu Magufuli. Mi sijawahi ona watanzania wana akili kwa miaka mingi sana. Labda kipindi cha Nyerere. Hapa katikati na umri wangu huu wa miaka 50+ sijawahi ona watanzania kwa wingi wakawa na akili. Magufuli alichofanya ni ku expose tu Upumbavu mwingi wa watanzania.ashakum si matusi
 
Kwa hiyo siku Mh Samia akikutana na Wapinzani TLP pia wataitwa?
Kwa nini wasiitwe mzee? Wao ni chama halali waliosajiliwa kwa utaratibu halali! Vyama vyote vitaitwa, asiyetaka anaruhusiwa kukataa mwaliko.
 
Huyu injinia ameingiaje kwenye siasa badala ya kushughulikia kutatua matatizo kwenye kada zinazohitaji taaluma hiyo au ana kazi maalumu huko TLP?
 
Sometimes wewe ndiyo unaweza kuwa huna akili kiasi kwamba unawaona wenzako hawana akili! Refer historia za akina Galileo, Tesla, Einstein
 
Vibaraka wa watawala dhalimu
 
Huyo msemaji wa vijana anatakiwa awe anamsaidia kumuamsha Mrema,kwa taifa sio msaada.

Chadema msikubali kupitishia hoja kwa watu kama hao.
 
AKILI au MATOPE ?
 
Hivi ni kweli anahitaji watu wa kumsemea?
Wakati swala hili la katiba mpya ameshalisema, likifika muda wake litatekelezwa tu. Huyu mama ana mambo mengi ya kurekebisha tena yanahitaji uharaka wa kuyatenda, kuna miradi inayoendelea inahitaji pesa, na kuna haki za watu zinazohitajika kurudishiwa kwa wenyewe na kakomesha ukusanyaji (uporaji) wa fedha kitemi hivyo apewe muda na ushirikiano ili aweze kuyatekeleza majukumu yake kwa ufanisi.
 
Tena kati ya vipendelemu muhimu chakubadilisha kwenye hiyo katiba nzee ni hicho kipengele cha rais akifariki akiwa madarakani makamu wake anapanda cheo nakua raisi moja kwa moja.Ili ni jambo lakuangalia sana.alafu ukiona katiba inakanyagwa jua iyo imetengenezwa hivyo na wajanja kuacha huo mwanya wa wao kuikanyaga.ila tukiwa serious kwenye hili nakwambia hakuna mtu atakayethubutu huo ujinga.
 
Tanzania sijui ilimkosea nini Mungu kuwepo watu kama hawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…