TLP: Kudai katiba Mpya ni kuichonganisha Serikali, Katiba Mpya haipo kwenye ilani ya CCM

Ndiyo maana Mbowe huwa anang'ang'aniwa aendelee kuwa M/kiti.
Wanachama wanajua msimamo wake.
TLP walisema wanamunga Magufuli sio CCM,Magufuli hayupo sasa vijana hawajielewi watamke nini
 
Hivi Eng ni kifupi cha Engineer?

Huyu atakuwa kilaza mkubwa

Engineer aliyepitia differential equations na vectorial mechanics hawezi kuwa pumbavu kiasi hiki.

Is something else hana discipline ya aina yoyote huyu.
 
TLP ni genge la Wahuni na wachumia tumbo. Ni taka taka tu.
 
Namkubali msukuma,eng hajui kuwa teknolojia hubadilika.huyo dogo anamahusiano na Jobo
 
Hii hata kama ni Point sidhani kama inatakiwa itoke kwenye Chama cha TLP; Kwani TLP ni Msemaji wa CCM au Serikali..., Yaani kazi yao ni kumtetea Mwenyekiti wa CCM au kuwakataza wengine cha kudai ?

Kweli Bongo kila kitu Usanii !!
 
Hawa wakachukue tu kadi zao za kijani wafunge ofisi ,Mgombea wao alishafariki hawana jipya tena
 
Ilisha kuwa ,katiba inakuja asema bwana ,katiba sio ya ccm , ni ya wananchi wenye nchi yao ambao Mungu kawaumba KWA mfano wake ,Sasa nyie ni nani mpingane na Mungu


Mungu anawaonya acheni kuziba masikio ,msipoileta wakati mkiwa na tabasam mtaileta mkiwa na uzuni kubwa juu yenu ,mkisikia sawa,na msipo sikia shauri zenu,ila ujumbe uwafikie Kama ulivyo,asema bwana
 
Amesema kuwa katika bajeti ya 2021/ 21 hakuna bajeti ya Katiba mpya hivyo kama chama cha siasa cha upinzani wasihangaika kuwasemea watanzania kuwa wanahitaji katiba mpya maana haina fungu la fedha.
Kama yasiyo kwenye bajeti hayatekelezwi, hili unalizungumziaje? Sikiliza hii
 
Suala la katiba mpya ni la KITAIFA(WATZ WOTE),
Ilani ya CCM ni ya kikundi cha BAADHI tu ya watanzania.
Tusipotoshwe na wajinga,ila uzuri wanapungua kila siku.
 
Suala la katiba mpya ni la KITAIFA(WATZ WOTE),
Ilani ya CCM ni ya kikundi cha BAADHI tu ya watanzania.
Tusipotoshwe na wajinga,ila uzuri wanapungua kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…