LGE2024 TLP: Uchaguzi ulikuwa wa Huru na Haki ila Wapinzani hatukujiandaa kama CCM

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Nini kinaendelea? Kuna kifinyo kimepita au ni vibunda?🤔🤔

====

Kupata taarifa na matukio kuhusu uchaguzi serikali za mitaa ingia hapa: LGE2024 - Dar es Salaam: Matukio yaliyojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024

Chama cha Upinzani nchini Tanzania TLP kimesema kuwa uchaguzi wa serikali za mitaa uliomalizika ulikuwa huru na haki ila changamoto ni kuwa vyama vya upinzani havikujiandaa vyakutosha kama CCM na ndio sababu ya vyama hivyo kushindwa kupata viongozi wengi waliochaguliwa ukilinganisha na CCM.

Wakuu,

Nini kinaendelea? Kuna kifinyo kimepita au ni vibunda?🤔🤔

====

Chama cha Upinzani nchini Tanzania TLP kimesema kuwa uchaguzi wa serikali za mitaa uliomalizika ulikuwa huru na haki ila changamoto ni kuwa vyama vya upinzani havikujiandaa vyakutosha kama CCM na ndio sababu ya vyama hivyo kushindwa kupata viongozi wengi waliochaguliwa ukilinganisha na CCM.
Akitoka hapo muamala unasoma laki tano anajiona mjanjaaa.
 
Endeleeni hivyo hivyo. Hata uchaguzi mkuu mtasema hivyo hivyo tu.
 
Wakuu,

Nini kinaendelea? Kuna kifinyo kimepita au ni vibunda?🤔🤔

====
Chama cha Upinzani nchini Tanzania TLP kimesema kuwa uchaguzi wa serikali za mitaa uliomalizika ulikuwa huru na haki ila changamoto ni kuwa vyama vya upinzani havikujiandaa vyakutosha kama CCM na ndio sababu ya vyama hivyo kushindwa kupata viongozi wengi waliochaguliwa ukilinganisha na CCM.

Kujiandaa kuiba na kuua? CCM inatamani sana chadema ife vibaki vyama kama hivi
 
Wakuu,

Nini kinaendelea? Kuna kifinyo kimepita au ni vibunda?🤔🤔

====
Chama cha Upinzani nchini Tanzania TLP kimesema kuwa uchaguzi wa serikali za mitaa uliomalizika ulikuwa huru na haki ila changamoto ni kuwa vyama vya upinzani havikujiandaa vyakutosha kama CCM na ndio sababu ya vyama hivyo kushindwa kupata viongozi wengi waliochaguliwa ukilinganisha na CCM.

Upuuzi mtupu
 
Back
Top Bottom