Akitoka hapo muamala unasoma laki tano anajiona mjanjaaa.Wakuu,
Nini kinaendelea? Kuna kifinyo kimepita au ni vibunda?π€π€
====
Chama cha Upinzani nchini Tanzania TLP kimesema kuwa uchaguzi wa serikali za mitaa uliomalizika ulikuwa huru na haki ila changamoto ni kuwa vyama vya upinzani havikujiandaa vyakutosha kama CCM na ndio sababu ya vyama hivyo kushindwa kupata viongozi wengi waliochaguliwa ukilinganisha na CCM.
Vibunda machawa Hawa!Wakuu,
Nini kinaendelea? Kuna kifinyo kimepita au ni vibunda?...
Kujiandaa kuiba na kuua? CCM inatamani sana chadema ife vibaki vyama kama hiviWakuu,
Nini kinaendelea? Kuna kifinyo kimepita au ni vibunda?π€π€
====
Chama cha Upinzani nchini Tanzania TLP kimesema kuwa uchaguzi wa serikali za mitaa uliomalizika ulikuwa huru na haki ila changamoto ni kuwa vyama vya upinzani havikujiandaa vyakutosha kama CCM na ndio sababu ya vyama hivyo kushindwa kupata viongozi wengi waliochaguliwa ukilinganisha na CCM.
Upuuzi mtupuWakuu,