TLS hii ni aibu kwenu

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
LEONARD MAGESA..APPL VS MS OLAM..RESP CIVIL APPE NO.11 OF 2015 RULING HON.JUMA,J.A. /LEONARD MAGESA..APPL VS MS ...

Nimekwenda kwenye website yenu nimekuta kitu ambacho sikutegemea toka kwa TLS!Kwanini mnabana mtu ku access kesi hiyo? nadhani nyinyi mko hapa kutetea watu na si kufanya biashara ya kuza publications za kesi, tena za ndani! Rekebisha kasoro hiyo! Mnawatetea watu bure mahakamani, leo mnabana kesi watu wasiweze kuisoma nakujitetea! Contradiction!
 
post malalamiko yako kwenye website ya TLS au page ya INSTAGRAM.

#ESQUIRE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…