comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 9,019
- 6,825
Mawakili na wanachama a TLS ni watu wajivuni sana; wanajiona sana kiasi kwamba na wao wenyewe wanajitambulisha kama wasomi. Lakini TLS hawakuianzisha wao; walianzishiwa na serikali.
Halafu wanatupigiza kelele hapa kana kwamba ni watu wa mhimu sana kuliko wengine. wanazidiwa na walimu ambao wana CWT ambao wakizeguana wanaanzisha CWT MAREJEO wanasonga mbele.
Halafu wanatupigiza kelele hapa kana kwamba ni watu wa mhimu sana kuliko wengine. wanazidiwa na walimu ambao wana CWT ambao wakizeguana wanaanzisha CWT MAREJEO wanasonga mbele.