Mbona una hasirq sana Kwan chama chako kinaitwaje?Mawakili na wanachama a TLS ni watu wajivuni sana; wanajiona sana kiasi kwamba na wao wenyewe wanajitambulisha kama wasomi. Lakini TLS hawakuianzisha wao; walianzishiwa na serikali. halafu wanatupigiza kelele hapa kana kwamba ni watu wa mhimu sana kuliko wengine. wanazidiwa na walimu ambao wana CWT ambao wakizeguana wanaanzisha CWT MAREJEO wanasonga mbele.
Hata KenyaTLS ilianzishwa na serikali ya wazungu wakoloni mwaka 1954
Tofautisha chama cha wafanyakazi na vyama vya kitaalumaMawakili na wanachama a TLS ni watu wajivuni sana; wanajiona sana kiasi kwamba na wao wenyewe wanajitambulisha kama wasomi. Lakini TLS hawakuianzisha wao; walianzishiwa na serikali. halafu wanatupigiza kelele hapa kana kwamba ni watu wa mhimu sana kuliko wengine. wanazidiwa na walimu ambao wana CWT ambao wakizeguana wanaanzisha CWT MAREJEO wanasonga mbele.
Wanakukera kwa sababu wakili ni mtu wa kuhoji, na kupima matokeo ya sheria iliyotungwa ina athari zipi sio kusubiri mpaka tukio litokee ndio maana mtu kama wewe huelewi kwamba sasa hi kizazi cha kuhoji usipojibu watakukera tu maana hutapata amani ya akili na moyo (no peace of mind unless you respond to the challenges posed against you with water holding evidence).Wanakera sana mkuu
Ndivyo unavyoelewa? Na mtafiti je?Wanakukera kwa sababu wakili ni mtu wa kuhoji, na kupima matokeo ya sheria iliyotungwa ina athari zipi sio kusubiri mpaka tukio litokee ndio maana mtu kama wewe huelewi kwamba sasa hi kizazi cha kuhoji usipojibu watakukera tu maana hutapata amani ya akili na moyo (no peace of mind unless you respond to the challenges posed against you with water holding evidence).
Vyama vya siasa vimejipangia vyenyewe namna ya kufanya mambo yao. TLS hata katiba na kanuni ni sheria na kanuni za bunge na waziri wa sheria.Kwahiyo kwa kuwa imeanzishwa na sheria ya bunge basi ni ya serekali, vyama vya upinzani vilianzishwa kwa sheria ya bunge so navyo ni vya serekali?
Vipi kuhusu mahakama??Vyama vya siasa vimejipangia vyenyewe namna ya kufanya mambo yao. TLS hata katiba na kanuni ni sheria na kanuni za bunge na waziri wa sheria.