Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Huyo Hosea ndio chaguo la CHADEMA kwa nafasi ya TLS kwasababu kaoa kada wa chama🤣🤣🤣Hivi TLS ipo au imeazimishwa kwa Dr Edward Hosea?
Hii siyo TLS tuliyoizoea maana haitoi matamko dhidi ya mambo ya ukiukwaji haki za kiraia na kutetea masuala ya wanachama wake
Hilo ni pandikizi la CCMHivi TLS ipo au imeazimishwa kwa Dr Edward Hosea?
Hii siyo TLS tuliyoizoea maana haitoi matamko dhidi ya mambo ya ukiukwaji haki za kiraia na kutetea masuala ya wanachama wake