TLS waomba radhi kwa post yao waliyoweka mtandao wa X kuhusu zoezi la kupiga Uchaguzi wa Rais TLS kumalizika

TLS waomba radhi kwa post yao waliyoweka mtandao wa X kuhusu zoezi la kupiga Uchaguzi wa Rais TLS kumalizika

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Tls waomba radhi kwa post waliyoweka kuhusu uchaguzi kuisha, wasema zoezi la kupiga kura litaendelea kwa muda wa saa moja kuanzia saa 07:20 mchana hadi 08:20 mchana.

IMG_20240802_133445_175.jpg
 
Ti Elo Es kwani hamna pdf file ya wanachama mfanye kama shule kuita majina..
All in All Mungu akatende yanayompendeza kwa watu wake

Mwakabusi ni chaguo la watu wako Yehova!
 
Back
Top Bottom