Cute Wife JF-Expert Member Joined Nov 17, 2023 Posts 1,906 Reaction score 5,000 Aug 2, 2024 #1 Wakuu, Tls waomba radhi kwa post waliyoweka kuhusu uchaguzi kuisha, wasema zoezi la kupiga kura litaendelea kwa muda wa saa moja kuanzia saa 07:20 mchana hadi 08:20 mchana.
Wakuu, Tls waomba radhi kwa post waliyoweka kuhusu uchaguzi kuisha, wasema zoezi la kupiga kura litaendelea kwa muda wa saa moja kuanzia saa 07:20 mchana hadi 08:20 mchana.
Mtukutu wa Nyaigela JF-Expert Member Joined Sep 4, 2018 Posts 8,013 Reaction score 14,263 Aug 2, 2024 #2 huo uchaguzi hauna hata maana yoyte
Pakawa JF-Expert Member Joined Mar 11, 2009 Posts 7,973 Reaction score 13,647 Aug 2, 2024 #3 Ti Elo Es kwani hamna pdf file ya wanachama mfanye kama shule kuita majina.. All in All Mungu akatende yanayompendeza kwa watu wake Mwakabusi ni chaguo la watu wako Yehova!
Ti Elo Es kwani hamna pdf file ya wanachama mfanye kama shule kuita majina.. All in All Mungu akatende yanayompendeza kwa watu wake Mwakabusi ni chaguo la watu wako Yehova!
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 44,629 Reaction score 83,056 Aug 2, 2024 #4 wahuni. wahuni, wahuni