TLS yamtaka Rais Samia kuunda Tume ya kuchunguza Polisi kuhusu utekaji wanaohusishwa nao. Yataka ripoti za uchunguzi kutolewa

Matukio ya Utekaji Watu yanazidi kushika kasi nchini Tanzania. Vyombo vya Usalama vyote kabisa vipo kimyaaaa, Mimi binafsi bado sijaelewa ukimya wao unamaanisha Nini hasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…