TMA imetangaza uwepo wa kimbunga inayoambatana na mvua

GEBA2013

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2014
Posts
6,316
Reaction score
9,390
Mamlaka ya hali hewa imetangaza uwepo wa kimbunga pwani ya bahari ya hindi.kimbunga hicho kinazidi kuimarika pwani ya shelisheli na itafika baada ya siku 4 pwani ya tanzania.ipo umbali wa km 1600 toka shelisheli.kimbunga itaambatana na mvua.
 
Nawaaminia sana TMA washikilie hapo hapo ni utabiri juu ya utabiri lazima nao wawe"famous"na kupata followers
 
Hahaha Wasikimbilie mbele tumalizane na Elininyo kwanza
 
Mamlaka ya hali hewa imetangaza uwepo wa kimbunga pwani ya bahari ya hindi.kimbunga hicho kinazidi kuimarika pwani ya shelisheli na itafika baada ya siku 4 pwani ya tanzania.ipo umbali wa km 1600 toka shelisheli.kimbunga itaambatana na mvua.
Da!!!! nyie 2pigeni kamba tu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…