Wazee wa kutabiri matukio yakiwa tayari yameshatukia...Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema joto kuongezeka katika mikoa mbalimbali kunatokana na kusogea jua la utosi na upungufu wa mvua.
TMA imesema vipindi vya jua la utosi nchini hufikia kilele mwishoni mwa Novemba wakati jua likielekea Kusini (Tropiki ya Kaprikoni), na hali hiyo hujirudia Februari wakati likielekea Kaskazini (Tropiki ya Kansa).
View attachment 2910963
🤣🤣🤣Wazee wa kutabiri matukio yakiwa tayari yameshatukia...
Kwa nini wasiseme mapema ili tuanze kutembea na fan? Jana nimetembea Kariakoo aisee doh. Vitambaa viwili vya mkononi vililowa chapachapa kwa jasho
Kwa mchimba chumvi vina uzuri gani kwake?AC na Jenereta vina uzuri wake
Miaka mitano ijayo situation itakua mbaya sana.AC na Jenereta vina uzuri wake
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema joto kuongezeka katika mikoa mbalimbali kunatokana na kusogea jua la utosi na upungufu wa mvua.
TMA imesema vipindi vya jua la utosi nchini hufikia kilele mwishoni mwa Novemba wakati jua likielekea Kusini (Tropiki ya Kaprikoni), na hali hiyo hujirudia Februari wakati likielekea Kaskazini (Tropiki ya Kansa).
View attachment 2910963
Wataalam wa hali ya hewa mtufafanulie hili neno la KUONGEZEKA KWA JUA LA UTOSI....Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema joto kuongezeka katika mikoa mbalimbali kunatokana na kusogea jua la utosi na upungufu wa mvua.