umezidisha sifa, mama hahusiki na kupatwa kwa juaMama anaupiga mwingi
Kama anahusika na taifa stars kufuzu afcon,anahusika na simba na yanga kwenda robo fainali kwann na hili lisimhusu?umezidisha sifa, mama hahusiki na kupatwa kwa jua
hili la kupatwa kwa jua liko anga za juu, ni tofauti na stars, simba na yangaKama anahusika na taifa stars kufuzu afcon,anahusika na simba na yanga kwenda robo fainali kwann na hili lisimhusu?
Nakumbuka sir henry ,Quarter man bwana na umbopa walipomuonyesha miujiza kigagula king solomon mine!Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema leo Aprili 8, 2024 dunia inatarajia kushuhudia tukio la Kupatwa kwa Jua Kikamilifu ambapo Mwezi utazuia kabisa Mwanga wa Jua, hata hivyo tukio hilo halitakuwa na athari zozote kwa upande wa Tanzania
TMA imesema nchi zitakazoshuhudia zaidi tukio hilo ni za Bara la Amerika Kaskazini kupitia Mexico, Marekani na Canada. Kwa upande wa Tanzania hali hiyo haitaonekana kwasababu iko eneo la mbali kutoka njia ya Kupatwa kwa Jua Kikamilifu.
Unakumbuka nini katika Matukio ya Kupatwa kwa Jua na Mwezi?
View attachment 2957812
Tumshukuru mama kwa kukataa hili tukio la mabeberu kufanyika Tanzania.Mama anaupiga mwingi
Unaelewa maana ya Mamlaka ya Hali ya Hewa?Duh! TMA inahusika vipi na kupatwa kwa jua, jua, mwezi na nyota viko anga za juu, mbona kama wanavuka mipaka? Wao si wana deal na hewa iliyopo humu humu ndani ya anga la tanzania? Labda kungekuwepo na mamlaka ya anga za juu ingefaa watuambie haya, angalau hata mamlaka ya usafiri wa nga kidogo wanafaa kutuambia habari za anga zikoje huko juu.
sielewi. NielewesheUnaelewa maana ya Mamlaka ya Hali ya Hewa?
πππMama anaupiga mwingi
Kuna mwaka hili tukio litatokea tanzania, wataalam wameshapiga hesabu za mambo ya mienendo ya mwezi na jua