TMA: Mvua zinazonyesha zimesababishwa na mgandamizo mdogo wa hewa, kesho zitapungua sana!

TMA: Mvua zinazonyesha zimesababishwa na mgandamizo mdogo wa hewa, kesho zitapungua sana!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mamlaka ya hali ya hewa nchini imesema mvua zinazoendelea kunyesha zimesababishwa na mgandamizo mdogo wa hali ya hewa katika bahari ya hindi.

Mvua hizi zinatarajiwa kupungua sana siku ya kesho.

Chanzo: Upendo tv

Maendeleo hayana vyama!
 
Hao ni TMA ila kwa mujibu wa Wazee wangu wa 'Kimila' wa Kawe wanasema Wao wanachojua 'wataisitisha' Mvua Alhamisi na Kesho itazidi mno tu.
 
Wanataka kumfurahisha mwenyekiti.
Aendelee na kampeni.
Mungu anavyojua kuwaumbua hao TMA ngoja tuone
 
Kumbe lengo lako. Ni kutualika kawe tumsikie jpm? Hana jipya tbc inamhubiri 24/7 na manenoyake yenye shombo .mkimchagua mpinzani sitoi pesa.kodi apokee kwa ccm tuu bb
 
Back
Top Bottom