johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Bwashee karibu Kawe kesho!Mvua imeletwa kwa juhudi za awamu ya 5
Bwashee wewe ni kampeni manager?Karibu kawe kesho bwashee!
Hahahaaaa...... Mimi ni mwanachama mwaminifu!Bwashee wewe ni kampeni manager?
CCM imeshindwa kutatua changamoto ya foleni daslamu. Tutafute mbadala , CHADEMA watatuvusha.Bwashee karibu Kawe kesho!
TMA wamekua kama waganga wa kienyeji. Sayansi imetiwa kwapani.Hivi kuna watu wanafuatilia taarifa za hao TMA?