TMA: Tunafuatilia kuhusu Kimbunga Freddy, hakuna madhara kwa sasa

TMA: Tunafuatilia kuhusu Kimbunga Freddy, hakuna madhara kwa sasa

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Baada ya uwepo wa taarifa kuhusu Kimbunga Freddy kuwa kina uelekeo wa kwenda Pwani ya Afrika Mashariki, Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema imejiridhisha hakuna madhara ya moja kwa moja katika maeneo ya Tanzania.

TMA imesema itatoa taarifa punde kutakapokuwa na haja ya kufanya hivyo kwa kuwa Kimbunga Freddy bado kipo Kusini Magharibi mwa Bahari ya Hindi karibu na Pwani ya Madagascar.

Hewa.jpg

Pia Soma Kimbunga Kikali cha Freddy kinaelekea Afrika Mashariki
 
Wanakanusha taarifa ila wanakubali kiaina uwepo wa Freddy TMA bhana
 
Athari za hali mbaya ya hewa ni zipi hizo...
 
Hakuna cha kimbunga hapa, kama ni jana hali ilikuwa shwari leo ndio hii kuko safi . Wasitutishe!!!
 
Hivi haya majina ya vimbunga huwa wanayatoa wapi?
 
Back
Top Bottom